Sunday, 4 September 2016

+ JIMBO KUU KATOLIKI DAR+

PAROKIA YA BIKIRA MAMA WA MKOMBOZI- KIPAWA.

+RATIBA YA KUONGOZA JUMUIYA NDOGO NDOGO+

MUDA - 12:30:

1.Ufunguzi kwa Sala fupi ( Ishara ya Msalaba).

2. Zaburi ya 95.

3.Kusoma injili ya siku fuata Shajara.

- Mara 1 - Atasoma mtoto.

- Mara 2 - Kijana.
- Zaburi ya somo

- Mara 3 - Mzazi

4. Kutafakari somo na zaburi ya siku hiyom.

5. Maombi.

6. Kumega mkate/Salamu za Majumbani pamoja na hali zetu Kifamilia.

7. Kusoma Taarifa ya Kikao kilichopita.

-Yatokanayo - Utekelezaji wa majukumu.

- Sadaka na Matoleo.

- Taarifa fupi ya Vyama vya Kitume.

8. Mengineyo - Kwa Idhini ya Mwenyekiti.

9. Kujua mahali pa kusali wiki ijayo na Somo la Wiki ijayo kwa Maandalizi.

10. Kufunga kwa sala Mwongozo wa Jimbo pamoja.