Sunday, 4 September 2016

+ JIMBO KUU KATOLIKI DAR+

PAROKIA YA BIKIRA MAMA WA MKOMBOZI- KIPAWA.

+RATIBA YA KUONGOZA JUMUIYA NDOGO NDOGO+

MUDA - 12:30:

1.Ufunguzi kwa Sala fupi ( Ishara ya Msalaba).

2. Zaburi ya 95.

3.Kusoma injili ya siku fuata Shajara.

- Mara 1 - Atasoma mtoto.

- Mara 2 - Kijana.
- Zaburi ya somo

- Mara 3 - Mzazi

4. Kutafakari somo na zaburi ya siku hiyom.

5. Maombi.

6. Kumega mkate/Salamu za Majumbani pamoja na hali zetu Kifamilia.

7. Kusoma Taarifa ya Kikao kilichopita.

-Yatokanayo - Utekelezaji wa majukumu.

- Sadaka na Matoleo.

- Taarifa fupi ya Vyama vya Kitume.

8. Mengineyo - Kwa Idhini ya Mwenyekiti.

9. Kujua mahali pa kusali wiki ijayo na Somo la Wiki ijayo kwa Maandalizi.

10. Kufunga kwa sala Mwongozo wa Jimbo pamoja.

Saturday, 21 May 2016

JINA LA GROUP.

TUZUNGUMZIE MAHUSIANO.

SHERIA ZA GROUP.

1. Picha chafu,Video za xx na Lugha chafu haziruhusiwi.

2. Mgeni akiingia anatakiwa atume picha yake na Mahali alipo kwa utambulisho zaidi.

3. Member pia anaruhusiwa kutuma picha au Video za kitu chochote ila ni lazima ziwe na Maelezo ya
kufafanua.

4.Lugha za kejeli haziruhusiwi,tunapaswa kuishi kwa kupendana.

5. Usitoe Icon ya group bila ruhusa ya Admin au bila kuwa na sababu yoyote.

6. Ni Marufuku kuingiza utani katikati ya Mada ili kuepuka kuwachanganya Members.

7. Kila Member alipende group,ashiriki ili lizidi kusimama na kutujenga.

8.Kama unaleft ni vema ukawaaga members wa group na sio kuleft bila taarifa.

MUHIMU.

1.Salamu katika group ni muhimu kuliko kitu kingine chochote.

2.Kuchat kwa ubaguzi hakutakiwi na ikionekana basi hatua ya kuondolewa itahusika.

3.Mtu akija na Mada,Wazo,Ujumbe au Swali ni lazima ajibiwe kwanza na kisha ndio Mada nyingine ziendelee.

RATIBA ZA KILA SIKU ZA GROUP.

1 NEWS ( Habari zote )

2.Mada (kila mmoja achangie).

SHERIA HIZI ZITABADILIKA KULINGANA NA KUONGEZEKA KWA WATU NA MAMBO MENGINE.

Asanteni kwa ushirikiano:- imeandaliwa na Mwillongo J..- Admin